x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Mafunzo ya CBC: Serikali yaratibu mafunzo kuhusu mtaala wa CBC kwa walimu zaidi ya elfu hamsini

08, May 2021

Serikali imeratibu mafunzo kuhusu mtaala wa CBC kwa walimu zaidi ya elfu hamsini na walimu wakuu wa shule za umma elfu ishirini na nne kuanzia mei tarehe ishirini na tano hadi juni tarehe nne. Kupitia barua kwa wakurugenzi wake wa kanda na kaunti, tume ya huduma za walimu, TSC, imesema mafunzo hayo yataendeshwa kwa njia ya mtandao na ana kwa ana, na yatawahusisha walimu wawili kutoka kila shule ya msingi ya umma na walimu wao wakuu.

POPULAR NEWS VIDEOS


RELATED VIDEOS


Feedback