×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Msaada wa Damu: Wahudumu wa sekta ya utalii wajitolea kwa kutoa msaada wa damu

25th April, 2021

Wahudumu wa sekta ya utalii humu nchini wameomba Wakenya kutii sheria na maagizo ya serikali ya kujikinga na virusi vya korona kwani hilo litasaidia nchi kufunguliwa kwa haraka, wahudumu hao wamese sekta ya kitalii ni miongoni mwa maeneo ambayo yameathirika pakubwa haswa kipindi hiki ambacho nchi imefungwa. Walikuwa wakizungumuza hapa Nairobi wakati wa zoezi la kutoa damu katika hosipitali ya Mp Shaa.

.
RELATED VIDEOS