x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Vita dhidi ya mahakama na asasi za serikali zashuhudiwa huku koti ikisitisha mahojiano ya jaji mkuu

22, Apr 2021

Maamuzi ya mahakama ya kikatiba kusitisha shughuli ya kuamua ni nani atakayekuwa jaji mkuu baada ya mahojiano kukamilika hapo kesho, yanaendelea kupanua ufa uliopo baina ya idara ya mahakama na serikali. Historia ya uhusiano hasi uliojawa pandashuka, wa jaji mstaafu david maraga na rais uhuru kenyatta, inaendelea kuzorota na kuweka visiki katika njia ya kumpata jaji mkuu mpya hivi karibuni. Je, vita kati ya asasi hizo mbili za serikali vinamaanisha nini?

Feedback