x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Ombi la Imamu: Kafyuu yawakandamiza waislamu, asema imamu wa bonde la ufa

21, Apr 2021

Mwenyekiti wa baraza la Maimamu na wahubiri wa dini ya kiislamu katika eneo la kaskazini mwa bonde la ufa Sheikh Abubakar Bin ametoa wito kwa idara za polisi kulegeza masharti ya kafyuu ambayo yameonekana kuwakandamiza baadhi ya waislamu haswa wakatri huu wa mfungo wa ramadhan. Aidha baraza hilo limetoa wito kwa wanasiasa kutoa msaada kwa waislamu ili kuwanusuru wasio na chakula wakati huu wa mfungo. 

RELATED VIDEOS


Feedback