x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Maji Adimu Pokot: Uhaba washuhudiwa Pokot kaskazini, maradhi yaanza kuripotiwa

21, Apr 2021

Visa vya maradhi yanayosababishwa na maji chafu, vimeanza kuripotiwa katika maeneo ya pokot kaskzini na pokot magharibi. Hali hii inachangiwa na uhaba mkubwa wa maji ambao unawafanya wenyeji kwenda kuteka maji kwenye visima vinavyotumiwa na wanyama pori. Sasa wakazi wa maeneo hayo wametoa wito kwa seriklai kuchimba mabomba ya maji ili kutatua uhaba huo.

Feedback