x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Familia moja katika eneo la Langas, Uasin Gishu yahangaika baada ya mwana wao kutoweka

21, Apr 2021

Familia moja katika eneo la Langas kaunti ya Uasin Gishu inaishi na hali ya wasiwasi baada ya mwana wao mwanafunzi wa kidato cha pili katika shule ya sekondari ya wareng kutoweka kwa takriban mwezi mmoja sasa. James Mwiso Vala anasemekana kuondoka kiamboni mwao pasipo kuonekana na yeyote. Jitihada za wazazi wake za kumtafuta zimeambulia patupu licha ya kupiga ripoti katika vituo vya polisi mjini Eldoret.

RELATED VIDEOS


Feedback