×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Jaji William Ouko ahojiwa na JSC, ni mahojiano ya nafasi ya Jaji Mkuu nchini

21st April, 2021

Huenda ikawachukua wakenya muda zaidi kumjua mrithi wa jaji mkuu aliyestaafu David Maraga, baada ya mahakama kuu kusitisha uteuzi wa jaji mkuu baada ya kukamilisha mahojiano kabla ya kusikizwa na kuamuliwa kwa msururu wa kesi zinazopinga shughuli hiyo.  Miongoni mwa kesi hizo ni ile inayopinga uhalali wa kamishna wa Jsc Olive Mugenda kuendesha shughuli hiyo ilhali kaimu Jaji Mkuu Philomena Mwilu ni mojawapo wa makamishna wa JSC. Awali leo, rais wa mahakama ya rufaa Jaji William Ouko alikuwa mbele ya tume ya JSC kuutetea utendakazi wake.

.
RELATED VIDEOS