x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Kusherehekea KCPE: Ni shule tano za kibinafsi pekee zilizojipatia nafasi katika kumi na tano bora

16, Apr 2021

Katika matokeo ya mtihani wa KCPE yaliyotangazwa siku ya alhamis, ni shule tano za kibinafsi pekee zilizojipatia nafasi katika kumi na tano bora na shule moja ya kibinafsi kati ya kumi bora. Licha ya kuwa hili limezua mjadala miongoni mwa washikadau, kijumla shule za kibinafsi zimefanya vyema zaidi kuliko shule za umma. Nicholas Wambua anadadisi na kuchanganua matokeo ya mtihani huo na haswa matokeo ya shule za kibinafsi

Feedback