x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Takriban watu ishirini wamepata majeraha baada ya ajali katika barabara kuu ya Malindi -Mombasa

12, Apr 2021

Takriban watu ishirini wamepata majeraha baada ya magari waliyokuwa wakisafiria kuhusika kwenye ajali katika barabara kuu ya Malindi -Mombasa. Ajali hiyo iliyohusisha matatu mbili ilitokea mahali ambapo palishuhudiwa ajali iliyosababisha watu 15 kupoteza maisha yao wiki iliyopita. Kulingana na kamanda wa polisi wa kaunti ndogo ya Malindi John Kemboi, ajali hiyo ilitokea wakati matatu moja ilijaribu kupita gari lingine katika eneo la Kizingo. 

Feedback