×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Seneta Abdul Haji asema kwamba anawezana na changamoto zinazowakabili wakaazi wa kaunti ya Garissa

7th April, 2021

Seneta wa Garissa Abdul Haji amesema kwamba anawezana na changamoto zinawazowakabili wakazi wa kaunti ya Garissa, baada ya kutawazwa seneta na tume ya Iebc hapo jana. Akizungumza kwenye mahojiano ya kipekee na Ktn News, Abdul Haji aliyerithishwa nafasi hio kufuatia kifo cha babake marehemu Yusuf Hajj alisema uteuzi wake ulitokana na maelewano ya wagombea na wazee wa jamii yake. Ameahidi kuutekeleza wajibu wake bila kumbagua yeyote kaunti ya Garissa. 

.
RELATED VIDEOS