x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Kifo Sudan Kusini: Familia moja Likuyani, Kakamega yaomboleza baada ya mpendwa wao kuuawa na waasi

07, Apr 2021

Familia moja kutoka eneo la Likuyani kaunti ya Kakamega inaomboleza kifo cha mtoto wao aliyepigwa risasi na waasi ambao wanapinga serikali ya Sudan Kusini. Elijah Thiru ni miongoni mwa dereva 20 waliouliwa kwenye misururu ya mauaji katika barabara ya Juba?Nimule na Juba?Yei Sudan Kusini.  Haya yamejiri huku muungano wa madereva wa masafa marefu nchini kenya ukiulaumu serikali kwa madai ya kushindwa kuwalinda madereva wakenya ambao maisha yao yamo hatarani nchini Sudan Kusini.

RELATED VIDEOS


Feedback