x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Afisa wa Polisi amuua mkewe na kujiua, mzozo wa ndoa wasababisha mauti

07, Apr 2021

Afisa wa kitengo cha Gsu anayefanya kazi katika ofisi ya waziri wa Usalama wa ndani Fred Matiang’i alimpiga risasi nane mke wake na kisha kujipiga risasi katika eneo la Ruaraka hapa jijini Nairobi. Ripoti ya polisi inasema kuwa afisa wa Trafiki, Pauline Wakasa alimshutumu mume wake Hudson Wakise kuwa hana uaminifu katika ndoa yao ndipo afisa huyo akachumoa bastola na kummiminia mkewe risasi.

RELATED VIDEOS


Feedback