x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Chanjo ya covid-19: Chanjo ya covcid-19 kuanza kutolewa vituoni; tayari inasambazwa mashinani

06, Mar 2021

Chanjo dhidi ya maambukizi ya korona nchini Kenya itaanza na hospitali za umma jijini nairobi kabla ya kuratibiwa kikamilifu sehemu zingine za nchi. Kwa mujibu wa Daktari Ouma Oluga wa NMS, hospitali za Pumwani, Mbagathi na mama Lucy ndizo za kwanza kutoa chanjo kwa umma wiki ijayo Nairobi naye mwenyekiti wa baraza la magavana Martin Wambora akidokeza kuwa mkutano wa jumatano na waziri wa afya Mutahi Kagwe utaratibu jinsi chanjo hiyo itatolewa kote nchini.

Feedback