x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Wanafunzi wanaoishi na ulemavu wa kuona wa taasisi (KISE) wamepokea msaada wa vifaa kutoka Uniliver

25, Feb 2021

Wanafunzi wanaoishi na ulemavu wa kuona walioko katika taasisi ya elimu spesheli ( kenya institute of special education, kise), wamepokea msaada wa vifaa kutoka kampuni ya unilever vya kuwasidia kusoma ( braille) kwa gharama ya shilingi milioni 22 kwa ushirikiano na kampuni ya kilimanjaro blind trust africa. vifaa hivyo vitasambazwa kwa wanafunzi walioko katika shule za sekondari na vyuo, kuwawezesha kumudu usomaji wa kazi za darasani.

Feedback