x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Familia moja Vihiga imetatizika baada ya serikali ya kaunti kuwazuia kumzika mpendwa wao

18, Feb 2021

Familia moja katika eneo la mbale kaunti ya vihiga imesalia katika njia panda baada ya serikali ya kaunti hiyo kuwazuia kumzika mpendwa wao kwa zaidi ya miezi mitatu sasa kutokana na mzozo wa ardhi. familia hiyo imeshindwa kulipia ada ya chumba cha kuhifadhi maiti wakihofia huenda mzozo huo ukaendelea kwa muda mrefu. polisi walifika nyumbani siku ya maziko na kusisitiza mwendazake hafai kuzikwa katika boma hilo.

Feedback