x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Wakaazi waandamana kulalamikia madai ya afisa wa polisi anayetuhumiwa kuwalawiti wavulana wadogo

18, Feb 2021

Kumekuwa na kizaazaa katika eneo la matunda kwenye barabara kuu ya Eldoret kuelekea kitale baada ya wakazi kuandamana kulalamikia madai ya afisa mmoja wa polisi anayetuhumiwa kuwalawiti wavulana wadogo wa shule .tayari OCPD wa kituo cha polisi cha likuyani anasema kwamba afisa huyo amesimamishwa kazi huku polisi wakiendeleza uchunguzi .

Feedback