x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Je kuna uwezekano muungano mwingine wa siasa kuibuka kabla ya uchaguzi mkuu wa 2022?

18, Feb 2021

Je kuna uwezekano muungano mwingine wa siasa kuibuka kabla ya uchaguzi mkuu wa 2022? suala hilo limeibuka baada ya aliyekuwa katibu mkuu wa unctd dkt. mukhisa kituyi kukutana kwa faragha na kula chakula cha mchana na kiongozi wa odm raila odinga, gavana wa makueni profesa kivuta kibwana na seneta james orengo. haya yanajiri huku mukhisa akiwa wa hivi punde kutangaza kuwa atagombea urais katika uchaguzi mkuu ujao. vile vile mkutano huu unatokea baada viongozi wa kanu, ANC, FORD-KENYA na wiper kuandaa mikutano ya pamoja ya kuwapigia debe wagombea wa ubunge katika chaguzi ndogo za matungu, kabuchai na machakos

Feedback