x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Waakazi wa matunda walitatiza shughuli za usafiri wakidai afisa wa polisi alimlawiti kijana mmoja

11, Feb 2021

Waakazi wa matunda katika eneo bunge la likuyani walitatiza shughuli za usafiri kwenye barabara ya Eldoret kitale wakidai kuwa afisa mmoja wa polisi katika kituo cha matunda alimlawiti kijana mmoja. Maafisa wa polisi walilazimika kutumia vitoza machozi kuwatawanya wakazi hao ambao walikuwa wameasha moto barabarani. Awali wakazi walikuwa wamekataa kusalimu amri ya polisi ya kuwataka kukoma kuendeleza vitendo vya ghasia

Feedback