x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Jackline Mwende apata haki baada ya miaka sita huku mahakama ikimfunga mume wake kwa miaka 30

09, Feb 2021

Miaka sita baadaye hatimaye haki yatendeka kwa Jackline Mwende aliyegonga vichwa vya habari baada ya kupata majeraha ya uso na mikono yake yote miwili kukatwa na mumewe,katika kile kilichosemekana ni ugomvi wa nyumbani.  

Feedback