x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Kaunti ya Kisumu imekuwa kaunti ya pili kupitisha mswada wa BBI baada ya kaunti ya Siaya

09, Feb 2021

Kaunti ya kisumu imekuwa kaunti ya pili kuupitisha mswada wa mabadiliko ya kikatiba 2020, yaani BBI uliowasilishwa katika bunge hilo tarehe mbili mwezi huu. Spika wa bunge hilo Elisha Oraro amesema kuwa wananchi walihusishwa vilivyo kwenye mchakato huo. Kwasasa anatarajiwa kuwafahamisha maspika wa bunge la taifa na lile la seneti kuhusu uamuzi huo. Bunge hili ni la pili baada ya bunge la Siaya kuupitisha mswada wa BBI. Ikumbukwe kuwa kinara wa ODM Raila Odinga amekuwa eneo la Nyanza kushawishi wenyeji na viongozi kuunga mkono BBI akiahidi kwamba italeta manufaa makubwa. Ziara yake ilikamilika leo  

RELATED VIDEOS


Feedback