28th January, 2021
Mmoja kati ya watu watatu mjini Nairobi ameambukizwa virusi vya korona. haya ni kwa mujibu wa ripoti iliyoandaliwa na taasisi ya utafiti wa matibabu, kemri, chuo kikuu cha washington statekenya na chuo kikuu cha nairobi. ripoti hiyo inaonyesha kwamba nusu ya nyumba zilizo jijini nairobi angalau mtu mmoja alipata virusi hivyo