x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Mkutano Wa Ruto Burma: Ruto ashambulia usemi wa Raila kuhusu utendakazi wa serikali ya jubilee

28, Jan 2021

Naibu Rais William Ruto ameshambulia usemi wa kinara wa ODM kuhusu utendakazi wa serikali ya jubilee akimlaumu Odinga kuwa miongoni mwa sababu za hali ilivyo. akizungumza kwenye soko la burma, Nairobi, ruto anadai Odinga ameamua kuwahadaa wakenya akitumia kisingizio cha BBI. Hata hivyo, mkutano huo ulivurugwa mara kwa mara na kundi la vijana waliokuwa wakipiga mayowe.

Feedback