x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Tamasha Za Wasanii Tanzania: Wasanii wa fani za muziki, uchoraji na densi wakongamana Dar Es Salaam

27, Jan 2021

Wasanii wa fani za muziki, uchoraji na densi nchini tanzania wanashiriki tamasha la nigh of ideas, tamasha ya kila mwaka inayofanyika kwa uratibu wa serikali ya ufaransa, ambapo zaidi ya tamasha 200 za aina hiyo zinatarajiwa kufanyika katika maeneo tofauti ulimwenguni..tamasha hiyo, yenye kauli mbiu ya ‘pamoja' inakusudia kuimarisha utamaduni na kutambua mchango wa wasanii katika maendeleo ya jamii.

Feedback