×
× KTN NEWS News Business Sports Politics Features Live Schedule E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Mshukiwa wa mauaji Sarah Muthoni aachiliwa huru na kuwa shahidi kwenye kesi ya mauaji Kiambu

26th January, 2021

Mmojawapo wa washukiwa wa mauaji huko Kiambu Sarah Muthoni, sasa ameachiliwa na mahakama baada ya kufanywa shahidi. Hata hivyo kesi dhidi ya mshukiwa mkuu Lawrence Warunge haijaendelea baada ya ripoti ya uchunguzi wa akili kubaini bado hana uwezo wa kuendelea na kesi hiyo. Sasa Warunge atasalia rumande huku akipata matibabu ya akili kwa siku thelathini.

 

.
RELATED VIDEOS