x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Shule nne kwenye mpaka wa kaunti za Baringo na Turkana zafungwa kutokana na utovu wa usalama

26, Jan 2021

Shule nne kwenye mpaka wa kaunti za Baringo na Turkana zimefungwa kufuatia utovu wa usalama katika eneo la Kapedo. Na baada ya serikali kutangaza kwamba masomo katika maeneo hayo yamesitishwa hadi usalama urejee, hali hiyo sasa imewaacha wanafunzi wengi hasa watahiniwa kutoka Kapedo na maeneo mengine yanayoandamwa na hali tete ya usalama kwenye njia panda.    

RELATED VIDEOS


Feedback