×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Waziri Fred Matiang'i amesema kuwa viongozi ambao wamehusika katika mzozo ulioko Kapedo watakamatwa

23rd January, 2021

Waziri wa usalama wa kitaifa Dkt Fred Matiang'i amesema kuwa viongozi ambao wamehusika katika mzozo ulioko Kapedo ambao ulichangia mauaji ya maafisa wa polisi watakamatwa. Matiangi alisema hayo katika sherehe ya shukrani ya naibu kamishna wa magereza Florence Omundi katika kijiji cha nyamache kaunti ya kisii na kuongeza kuwa ni aibu kwa viongozi kuwachochea wakazi.

.
RELATED VIDEOS