23rd December, 2020
Watu watatu wamefariki baada ya kuteketea hadi kufa huku mmoja aliyenusrika akiendelea kupata matibabu nyumba ya waathiriwa ilishika moto katika kijiji cha kanganginga eneo la mwingi ya kati. Inadaiwa kuwa mzozo katika familia hiyo huenda ulichangia kuzuka kwa moto huo baadhi wakidhania kuwa kulikuwa na mpango wa mauaji