x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Mawaziri wapya wala kiapo nchini Tanzania, Rais Magufuli aongoza hafla hiyo

09, Dec 2020

Rais wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, amewaapisha mawaziri 21 na manaibu mawaziri 23, wanaounda serikali ya awamu ya tano katika hafla iliyofanywa leo mjini Dodoma yalipo makao makuu ya taifa hilo. Rais Magufuli, anawaapisha mawaziri hao ili kuunda serikali, baada kushinda kwa asilima 84.4 katika uchaguzi mkuu wa oktoba 28.

Feedback