x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Kiongozi wa CCM Isaac Rutto, amesema kuwa chama chake kitamuunga mkono Gideon Moi 2022

04, Dec 2020

Azma ya seneta wa Baringo Gideon Moi kuwania kiti cha urais katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2022 hii leo imepigwa jeki, baada ya kiongozi wa chama cha mashinani Isaac Rutto, kutangaza kuwa chama chake hakitakuwa na mgombea wa urais na badala yake kumuunga mkono Gideon. Haya yamejiri huku baadhi ya viongozi wa bonde la ufa wakimtaka naibu wa rais William Ruto kutangaza wazi kuwa atapinga mchakato wa marekebisho ya katiba chini ya BBI.

Feedback