Mpiga Mbizi Nyota: Francis Unda ni mpiga mbizi maarufu; ni kazi inayohitaji ujasiri mkubwa
28, Nov 2020
Duniani kuna taluma chungu nzima, zingine shwari zengine za hatari.. Moja apo ni ya uzamaji majini na uokozi, Lofty Matambo alikutana na bwana francis unda anayekiongoza kikosi cha uokoaji majini katika kaunti ya kilifi, anaifanya kazi ambayo hadi sasa familia yake haijaridhia. Je, inachamgamoto zipi?