Ruto alikuwa wapi? Hakuhudhuria hafla ya BBI KICC, amerejea nchini kutoka Dubai
25, Nov 2020
Wakati huo Naibu Rais William Ruto alikosa kufika kwenye hafla ya kuzindua rasmi zoezi hilo la ukusanyaji wa sahihi pamoja na wasiasa wengine wanaomuunga mkono. Wafuasi wa Ruto wanasema kuwa hawakualikwa kwenye hafla hiyo.