x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Uvumbuzi wa sekta ya sanaa ya mitindo Tanzania, sekta kupata nafuu baada ya udhibiti

11, Nov 2020

Sekta ya sanaa ya mitindo ya mavazi nchini Tanzania, inatarajia kupata nafuu baada ya taifa hilo kudhibiti maambukizi ya virusi vya korona, ambapo wabunifu wachanga na wenye majina makubwa, mwanzoni mwa mwezi ujao, wanatarajia kupanda jukwaa la maonesho la swahili fashion week, kuonesha ulimbwende wa afrika kupitia mavazi

Feedback