x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Uhalifu Nakuru: Washukiwa 9 wa genge hatari wakamatwa, walinaswa na mihadarati

11, Nov 2020

Polisi mjini nakuru wamenasa watu 9 wanaoshukiwa kuwa wanachama wa genge hatari la ‘Confirm’  wakiwa na misokoto ya bangi na vifaa vingine vinavyoshukiwa kutumika katika uhalifu. Maafisa wa polisi walifanya msako huo kufuatia kilio cha wenyeji wanaodai kuhangaishwa na wanachama wa genge la 'Confirm'

Feedback