Rais atarajiwa kuhutubia taifa kesho, hotuba kutoa taswira halisi ya taifa
11, Nov 2020
Rais Uhuru Kenyatta kesho atahutubia taifa kwenye kikao maalum cha pamoja cha bunge la kitaifa na lile na Seneti. Matarajio ya hotuba ya Rais, itakayotolewa kwenye mazingira magumu ya kupanda kwa maambukizi ya virusi vya korona.