x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Ukuzaji Vipaji: Timu kutoka Murang'a na Kiambu kunufaika, zaidi ya vilabu 140 wapokea sare

08, Nov 2020

Zaidi ya timu 140 kutoka kaunti ya Muranga na Kiambu hii leo zilipigwa jeki baada ya kupokea vifaa vya kucheza kutoka kwa kampuni ya odibets ikishirikiana na shirikisho la kandanda nchini fkf. Timu hizo ambazo pia zinashiriki ligi ya kaunti zilipokea sare za kucheza kwa maandalizi ya msimu mpya.  

Feedback