x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Joe Biden aliibuka mshindi uchaguzini, makamu wake ni Kamala Harris

08, Nov 2020

Mgombea wa Democrat Joe Biden ambaye aliibuka mshindi kwenye uchaguzi wa urais nchini marekani ameahidi kuleta umoja nchini humo baada ya uchaguzi ulioshuhudia mgawanyiko mkubwa. Hayo yanajiri huku Rais Donald Trump aliyewania kwa tiketi ya Republican akikataa kukubali matokeo hayo.  Ushindi wake ukikamilisha siku 4 za kusubiri matokeo ya uchaguzi huo na kuanzisha sherehe miongoni mwa wafuasi wake Biden na Kamala Harris kufurahia ushindi wao. Hebu tupate kwa kifupi hotuba walizotoa Biden na Kamala baada ya kuibuka washindi. 

Feedback