x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Chama cha CUF chakataa matokeo Tanzania, jeshi limezima maandamano Tanzania

02, Nov 2020

Hussein mwinyi wa CCM ambaye ni waziri wa zamani wa ulinzi wa Tanzania leo ameapishwa kuwa rais wa serikali ya mapinduzi ya Zanzibar, ambayo ni sehemu ya Tanzania huku jeshi la Tanzania likifanikiwa kuzima maandamano ya wafuasi wa vyama vya chadema na act?wazalendo wanaopinga uchaguzi wa oktoba 28 uliompa ushindi Dr. John Pombe Magufuli wa CCM. Maandamano hayo yaliyopangwa kuanza leo jumatatu yamezimwa baada ya jeshi hilo kuwakamata baadhi ya waratibu wa maandamano hayo ambao ni viongozi wa Chadema akiwemo mwenyekiti wa chama Freman Mbowe, Godbless Lema na aliyekuwa meya wa manispaa ya ubungo Boniface

Feedback