x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Balozi mteule wa Kenya nchini Burundi Daniel Wambura wakati mgumu mbele ya kamati ya bunge

31, Oct 2020

Balozi mteule wa Kenya nchini Burundi Daniel Wambura hapo jana alikuwa na wakati mgumu mbele ya kamati ya bunge inayopiga msasa mabalozi wateule kuhusu utendakazi wake kama kamishna kwenye tume ya uchaguzi iliyotumbukiza nchi kwenye machafuko mwaka wa 2008 baada ya kutangaza matokeo ya kura ya urais. wambura alijitetea kwa kusema kwamba tume ya kriegler ilisema utepetevu kwenye asasi kadhaa za serikali ndio ulisababisha machafuko. wabunge pia walilumbana vikali kuhusu busara ya rais uhuru kenyatta kuteua baadhi ya watumishi wa umma ambao wamefikisha umri wa kustaafu kwa ubalozi.

Feedback