x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Wakenya watapokea huduma bora ya afya bila malipo iwapo mpango wa kueneza mradi wa UHC utafaulu

31, Oct 2020

Wakenya sasa watapokea huduma bora ya afya bila malipo iwapo mpango wa serikali wa kueneza mradi wa uhc nchini kote utafaulu. rais uhuru kenyatta amesema kuwa ni azma ya serikali yake kupunguza gharama za huduma ya afya na kuboresha huduma hizo. mradi wa uhc ulifanyiwa majaribio katika kaunti nne za kisumu, machakos, nyeri na isiolo, na kulingana na rais, ulikuwa wenye mafanikio makubwa. lakini kama anavyoarifu ibrahim karanja, huenda mradi huo ukakumbwa na tishio la kufeli haswa katika wizara iliyojaa visa vya ubadhirifu wa fedha.

Feedback