x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Uhuru, Ruto na Raila wahudhuria hafla ya uzinduzi wa Ripoti ya BBI katika ukumbi wa Bomas

26, Oct 2020

Kenya imeandikisha historia hii leo baada ya kuzinduliwa rasmi kwa Ripoti ya Jopo la Upatanisho, la kuwaleta pamoja wakenya ili kuepuka uhasama na mizengwe kabla, wakati na baada ya uchaguzi nchini. Ripoti hiyo ilizunduliwa katika ukumbi wa Bomas ambapo Rais Uhuru Kenyatta na mwenzake wa "handsheki" Raila Odinga waliongoza kuwarai viongozi kuikumbatia ripoti hiyo.  

Feedback