.
21st October, 2020
Wazee wa jamii ya mijikenda wameanzisha mpango wa kuchangisha pesa kiasi cha shilingi milioni 10 ili kukijenga kituo cha shujaa mpiganiaji uhuru, Mekatilili wa Menza. Hapo jana katika sherehe za Mashujaa Rais Uhuru Kenyatta alimtambua Mekatilili kama Shujaa wa kupigiwwa mfano.