×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Gavana wa Meru, Kiraitu Murungi aunga mkono Ripoti ya BBI

21st October, 2020

Hisia mbali mbali zinazidi kutolewa na viongozi baada ya ripoti ya BBI kuzinduliwa rasmi mapema leo. Gavana wa kaunti ya Meru Kiraitu Murungi ameunga mkono ripoti hiyo na kusema kuwa imegusia suala la fedha zinazogawiwa kaunti kwa kuongeza kutoka asilimia 15 hadi asilimia 35. Kiraitu ambaye amepigia debe kuongezwa kwa fedha kwa kaunti amesema kuwa wakazi wa meru na viongozi hawataiunga mkono ripoti hiyo kipofu tu, bali wataisoma kabla ya kutoa msimamo wa pamoja. Ameongeza kuwa patakuwepo na mkutano mkubwa katika siku zijazo utakaohusisha wadau mbali mbali wakiwemo viongozi na wananchi kutoka kaunti ya Meru.

.
RELATED VIDEOS