x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Wanasiasa waimarisha kampeni Msambweni, kila mwamba ngoma awavutia wapiga kura

21, Oct 2020

Wagombeaji katika uchaguzi mdogo wa eneo bunge la Msambweni kunoa makali ya kushindana katika kampeni za kisiasa ambazo zishaanza. Huku Naibu Rais akiahirisha ziara yake ya kaunti ya Kwale kumpigia debe Feisal Bader, chama cha ODM kinajinata kifua kwa kuwaalika zaidi ya magavana kumi na watano wanaoegemea upande wa kiongozi wa Odm Raila Odinga na Rais Uhuru Kenyatta katika uzinduzi rasmi wa mgombeaji wake Omar Boga jumamosi hii. Wagombeaji wengi hawajaachwa nyuma katika kushiriki kampeni za nyumba hadi nyumba. 

Feedback