x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Uhuru Kenyatta apokezwa Ripoti ya BBI, jopo la upatanisho kuandaa vikao

21, Oct 2020

Hatimae mapendekezo ya kamati ya BBI yamekabidhiwa Rais Uhuru Kenyatta na kiongozi wa Odm Raila Odinga. Vinara hao wawili waliopokea ripoti hiyo katika ikulu ndogo ya kisii waliwakashifu wanaohujumu jitihada za mwafaka wa BBI na kuwataka wakenya kujisomea kwa makini ripotii hiyo itakayozinduliwa rasmi siku ya jumatatu katika ukumbi wa Bomas of Kenya. Rais Kenyatta na mwenzake Odinga wamewaeleza wakenya wawe tayari kushiriki kura ya maamuzi ya marekebisho ya katiba.

Feedback