×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Huduma Namba: Waziri Matiangi asema wakenya wajiandae kupokea kadi za huduma namba

20th October, 2020

Serikali ya kenya imesema maandalizi ya kutolewa kwa kadi za mfumo wa kujumuisha taarifa za kila mtu maarufu huduma namba yamekalmilika. Kwa mujibu wa waziri wa masuala ya ndani DR. Fred Matiang’i kenya inasubiri bunge kuidhinisha jina la kamishna mteule atakayesimamia taarifa hizo muhimu, kwa kimombo data commissioner, kabla ya kutolewa rasmi kwa kadi na nambari hizo.

 

.
RELATED VIDEOS