x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Ualimu Ni Mwito: Tunaangazia walimu wawili wanaohamasisha jamii kuhusu umuhimu wa masomo

17, Oct 2020

Ualimu ni taaluma iliyo na jukumu kuu la kutoa mafunzo kwa wanafunzi. mara nyingi walimu huyatekeleza majukumu yao wakiwa ndani darasani. lakini katika kaunti ya kajiado, wapo walimu wawili ambao wameenda zaidi ya shughuli za darasani ili kukuza mageuzi katika jamii. shadarack mitty anaangazia taarifa ya walimu wawili walio manaibu walimu wakuu, wanaohamasisha jamii kuhusu umuhimu wa masomo mbali na kuwatafutia wanafunzi werevu kutoka familia masikini ufadhili wa masomo yao ya sekondari.  

Feedback