×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Gavana Sonko amlaumu Mkurugenzi Badi, adai ameruhusu makundi kurudi City Hall

30th September, 2020

Inaonekana ushindani wa utendakazi baina ya gavana wa kaunti ya Nairobi Mike Sonko na mkurugenzi wa NMS Mohammed Badi utaendelea wakati gavana Sonko akidai kuwa Badi anajaribu kuyafufua makundi ya watu wenye ushawishi katika City Hall. Kupitia msemaji wake Ben Mulwa, Sonko anadai NMS limeshindwa kutoa huduma na inakuja na mbinu za hujuma na hata hawafuati sheria. 

.
RELATED VIDEOS