.
30th September, 2020
Wahudumu wa afya waliogoma kwa siku ya tatu leo katika hospitali ya Kenyatta wameagizwa kurejea kazini mara moja na viongozi wa miungano yao. Kulingana na viongozi hao, wamewataka kurudisha huduma kwa sababu ya agizo la mahakama lililotolewa jana jioni na usimamizi wa hospitali kuu ya Kenyatta.