.
25th September, 2020
kitengo cha polisi cha kukabiliana na uhalifu wa jinai kwa siku saba zijazo kitaendelea kuwazuilia washukiwa watatu katika kesi ya ulaghai wa dhahabu yenye thamani ya shilingi milioni mia tatu na ishirini na nne. mahakama ilikubali ombi la polisi la kutaka kumaliza uchunguzi wao. mwanahabari wetu sirajurahman abdullahi na taarifa hiyo na nyinginezo za uhalifu.