x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

KWS yawaokoa wanyama pori waliokwama Kisiwani Longcharo katika Kaunti ya Baringo

23, Sep 2020

Shirika la Wanyama Pori KWS liko mbioni kuwaokoa wanyama pori waliokwama katika kisiwa cha Longcharo katika Ziwa Baringo. Wanyama hao wakiwemo Ngiri, Swara na Twiga walijipata pabaya baada ya viwango vya maji kuongezeka na kukifanya kisiwa hicho ambacho kimekuwa makazi yao kwa zaidi ya mwongo mmoja kuwa finyu.

Feedback